
Tuzo za Brit awards 2015 zimefanyika jana usiku kwenye ukumbi wa O2 Arena, London huku mastaa mbalimbali kama akina Taylor Swift, Kanye West na Madonna.
Ushindi wa akina Sam Smith na wengineo kupata tuzo huenda isiwe story kubwa kwa leo, tukio la kuanguka kwa mwanamuziki mkongwe Madonna limezungumziwa zaidi, hii imetokea bahati mbaya wakati mwanamama huyo akifanya show na dancers wake kwenye...