Kwanza kabisa anza na kulizoesha tumbo lako kabla hujahamia kiunoni au kwenye nyonga. Sote tunatambua kuwa tumbo ni moja ya sehemu inayovutia kama ilivyo makalio, miguu n.k. hasa kama tumbo hilo ni dogo.
Mazoezi ya kukata kiuno
Simama wima ukiwa uchi mbele ya kioo, weka mikono yako hapo tumboni alafu sukuma tumbo lako mbele (litunishe) baki hivyo kwa muda kisha lirudishe kwa ndani na ubaki tena hivyo kwa muda. Rudia kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo na kumbuka kubana pumzi huku mdomo ukiwa wazi (itasaidia kukaza misuli ya tumbo pia), kubadilisha mirindimo (polepole, haraka, kugandisha n.k) mpaka utakapohisi tumbo lako linatetema/tikisika.
Msingi wa kukata kiuno
Kama nilivyosema awali, simama wima na jishike kiunoni (kuhu na huku) kisha peleka sehemu ya kiuno ya kulia upande wa kulia, sehemu ya mbele ipeleke mbele uwezavyo (nina maana ile pelvis tu sio tumbo na kila kitu) alafu baada ya hapo peleke sehemu yako ya kiuno ya kushoto upande wa kushoto, kisha peleka sehemu yako ya mbele nyuma hali itakayofanya matako yako yabinuke na kujitokeza kwa nyuma. Nyoosha magoti kisha rudi kulia (ulipoanzia).
Fuata hatua hizo kwa mara nyingine tena ambazo ni simama wima kisha peleka kiuno kulia, mbele, kushoto, nyuma, kulia mara 20 na kuendelea inategemea zaidi na bidii yako.
Baada ya kuzoea hatua hizo hapo ndio unapotakiwa kutengeneza mirindimo yako kivyako. Mfano lala chali, kifudifudi (lalia tumbo), ubavu, chutama, piga magoti n.k kisha peleka kiuno kulia, mbele, kushoto, nyuma, kulia mpaka kiuno kizoee.
Kidokezo: Zoezi zuri la kukata kino ni kulala kifudifudi (kulalia tumbo) kisha kukizunguusha (hapa usipokuwa mwangalifu unaweza ku-cum via kisimi kwa vile unatua unakisugua)