WANAUME TUUUU: ..............SI SUBUTU KUKUTANA NA ..........TYPE HII YA WANAWAKE USIBONYEZE...NI SHIDAAA AISEEE...!
0
Hakikisha unawakwepa aina hii yawanawake ili usijiingize kwenye matatizo.Nitakwambia ni kwa nini…..1.Demu wako wa zamaniNi vizuri kutorudia mahusiano ya zamani nazaidi kama kwenye mahusiano yenu yamwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri.Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwambahakika mwanzoni mlikuwa hamuendani nandio sababu ya iliyopelekeakuvunjika kwamahusiano yenu, ndani ya hizo sababukuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo,ukichunguza na kuziangaliakwa makiniutagundua ni za asili na ambazo si rahisikwa mmoja wenu kuzibadilisha sababu nivitu au mambo ambayo yatakuwa ni yadamuni.2.Dada wa rafiki yako kipenziEpukana na kujiingiza kwenye mahusianona dada wa rafiki yako. Si tukwambautaweza kujiingiza kwenye uhasama nachuki kama mambo hayatakwenda sawa, ilapia utaweza kujiweka kwenye mazingira yakujikuta siku moja unapigwa hata ngumi zauso sababu tu ulimuumiza dada yake. Pia,utaweza kumkosa mtu ambaye ndiealikuwa ni kimbilio lako
kwamambombalimbali pale ambapo itatokea wewe nadada yake mambo kutokwenda sawa,sababu hapo patakuwa na mgongano wakimaslahi kwa huyo rafiki yako.3.Wanawake wenye mambomengiKiukweli, kutoka na watu kama hawakinaweza kuwa ni kitu cha kufurahisha, ilamwisho wa siku itakuingizakwenyematatizo. Mara zote kumbuka ni vyemakuwa salama kuliko kujuta. Usijiingizekwenye majaribu ambayo utakuja kuyajutiakwa maisha yako yote.4.Wanawake wanaopenda hela kupitiliza(Wachunaji)Kuwa mbali nao, labda kama unataka saliolako limalizike pasipo wewekujifahamu.Naamini hili kila mmoja analifahamu nahalihitaji darasa zaidi. 5.Demu wa zamaniwa rafiki yakoKama unathamini urafiki wako na mshikajiwako achana na habari ya kutoka naaliyekuwa demu wake. Mambo yanawezakubadilika na kuwa kama au zaidi yayaliyotokea kwa rafiki yako na ikaja kulakwako zaidi. Wakati mwengine inawezatengeneza chuki kati yako na rafiki yako,huku akiamini kwamba ulikuwa unatoka aukumnyemelea demu wake toka zamani.Wadau mademu wapo wengi sana, fanyakutafuta wengine nje ya hawa….. ni ushauritu..
0Awesome Comments!