CHEKI PICHA ZAKE NI SHIDAAAAAAAA......SOMA HIIIII MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA ACHUMBIWA NA MBONGO..ASEMA HAYA
0

Mwanamitindo Mtanzania Flaviana matata ambaye Novemba 2014 alichumbiwa, amesema kuwa hata atakapoolewa, ndoa haitabadilisha au kuathiri chochote katika kazi zake.
Flaviana Matata
“Kila kitu kitaendelea kama kilivyo sasa mpaka pale nitakapoona sasa imetosha nifanye mambo mengine, lakini haitabadilisha chochote, itabadilisha status tu ndo inakuwa mrs flani basi.” Alisema kupitia...