0

Hali ya maisha imekuwa ngumu kwa kijana huyu Abdallah Omar umri wake ni miaka 17, ana kipaji cha uandishi wa script za movie, akapata nafasi kukutana na Geah Habib wa ‘Leo Tena’ @CloudsFM ambaye alimkutanisha pia kijana huyu na Zamaradi Mketema ambaye anafanya show inayohusu movie, “Take One” kwenye Clouds TV.
Baadaye kijana huyu alimtafuta tena Geah
na kumuelezea matatizo yake ya kifamilia...