0
.
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ameshawasili 256 Uganda kumpa support Zari Hassan a.k.a Zari The Bosslady kwenye event yake ‘All White CIROC Party’ itakayofanyika Des 18 Kampala.

.
.
.

.
.

Diamond Platnumz akiwa na Zari baada ya kumaliza mahojiano na waandishi.

.

.
.

Zari na Diamond wakihojiwa na mwaandishi kutoka NTV.
.

.
Hili ndio gari lililombeba Diamond Platnumz kutoka Airport kuelekea Hoteli .


0Awesome Comments!